Header Ads

Breaking News
recent

OKWI ATAKA KUCHEZA ULAYA AIKATAA KAIZER CHIEFS


Mshambuliaji wa klabu ya Simba S.C Mganda Emmanuel Okwi amekataa kujiunga na klabu kongwe ya Afrika ya Kusini kaizer chiefs kwa madai kuwa anataka kucheza barani ulaya na yupo mbioni kupata timu ulaya

Okwi ambaye bado ana mkataba wa kuichezea Simba aliivutiwa Kaizer Chiefs na timu hiyo ya Bondeni ilikuwa tayari kutoa kiasi cha dola 150,000 kwa Simba ili kuweza kumsajili kinda hilo ya timu ya Uganda under 23.


Kufuatia hatua hiyo sasa Okwi amerudi nchini Uganda kujipanga na safari yake ya kwenda kufanya majaribio barani ulaya ndani siku chache zifuatazo.

No comments:

Powered by Blogger.