WAKATI MKUTANO WA INJILI WA KWA NEEMA GOSPEL CAMPAIGN ULIOANZA AUGUST MOSI KATIKA VIWANJA VYA FURAHISHA JIJINI MWANZA UKIELEKEA UKINGONI WAKAZI WA KANDA YA ZIWA NA MIKOA JIRANI WAMEZIDI KUMIMINIKA KATIKA VIWANJA HIVYO HUSUSANI BAADA YA KUWASILI KWA MWIMBAJI MASHIHURI NCHINI JOSEPH NYUKI KUTOKA DAR ES SALAAM
KATIKA MKUTANO HUO UNAOTARAJIWA KUFIKIA TAMATI AUGUST 31 MWAKA HUU SHUHUDA MBALIMBALI ZIMEKUWA ZIKITOLEWA HUSUSANI KUHUSU WIMBI LA MANABII WACHAWI
SAKATA LA KUWAFICHUA MANABII HAO WA UONGO LILIIBULIWA NA ASKOFU AUGUSTINE MPEMBA MIEZI KADHAA ILIYOPITA JAMBO LILILOONEKANA KUWAGUSA WENGI NA KUONESHA KUWA WALIKUWA WAKISUBIRI WA KUMVISHA PAKA KENGELE KWANI MANABII HAO IMEFIKIA HATUA WANATANGAZA WAMEFUFUA WATU JAMBO LILILOULAZIMU MTANDAO HUU KUFIKA KATIKA KIJIJI KINACHODAIWA MWANAMKE MUHAYA EDWARD AMEFUFULIWA NA KUBAINI KUWA NI UZUSHI MTUPU
ASKOFU MPEMBA NA MKEWE PASTOR DINNAH MPEMBA
JOSEPH NYUKI AKITUMBUIZA
BOFYA HAPA UCHEKI KITU CHA SIDANGANYIKI
NYUKI NA MKEWE
KIDUKU KINAPOKOLEA HUA HIVI
MWANDISHI WA MTANDAO HUU SEIF OMARY KULIA NA JOSHUA DEDE
ASKOFU MPEMBA AZIDI KUKUNA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA ZIWA
Reviewed by Anonymous
on
Saturday, August 27, 2011
Rating: 5
No comments: