WANAHABARI MBEYA WAKIJIANDAA KUMZIKA DANNY MWAKITELEKO.
Kulia ni Mwenyekiti wa Mbeya Press Club Christopher Nyenyembe akiwa katika hali ya masikitiko leo asubuhi tayari kuelekea katika mazishi ya mwandishi mwandamizi wa Gazeti la Rai Daniel Mwakiteleko mazishi yatakayofanyika huko wilayani Rungwe mkoani Mbeya eneo la Mwakaleli.
Kulia ni mwandishi Angelica Sullusi wa Tanzania Daima mkoani Mbeya akiwa anabadilishana jambo na mwenzake wa Majira Ester Macha tayari kwa safari kwenda kwenye mazishi ya Mwakiteleko.
Waandishi wa habari mkoani Mbeya wakiwa katika masikitiko makubwa tayari kuelekea mazishini.

No comments: