Header Ads

Breaking News
recent

EXCLUSSIVE

ILIKUWA ALHAMISI YA TAREHE 28 JULY MWAKA HUU 2011 MAJIRA YA ASUBUHI MWANDISHI WA MTANDAO HUU SEIF OMARY "UPUPU" ALIPATA MTOTO WAKE WA KWANZA AKIWA WA KIKE BAADA YA MKEWE BI MARIATH KUJIFUNGUA
KUTOKANA NA KUZALIWA KWA MTOTO HUYO ALIYEPEWA JINA LA NASRA,BWANA SEIF AMEONGEZA MAJUKUMU UKIACHILIA MBALI HESHIMA YA KUITWA BABA NASRA

            MTOTO NASRA SEIF SALUM OMARY "UPUPU" AKIWA AMEUMA POZI
                         HAPA AKIONESHA KUKERWA NA MWANGA WA CAMERA
              NASRA AKIWA NA MAMA YAKE MUDA MFUPI BAADA YA KUNYONYA

No comments:

Powered by Blogger.