Katika hali isiyokuwa ya kawaida kikao hicho kimeshindwa kufanyika baada ya viongozi wa vilabu vinane kushindwa kuhudhuria.
Viongozi waliohudhulia wametoka vilabu vya:-
African Lyon,Mtibwa Sugar,Kagera Sugar,Jkt Ruvu,Ruvu Shooting na Moro UTD.
Kikao hicho kilikuwa na lengo la kuzungumzia namna ligi ya msimu ujao itakavyoendeshwa.
HILO NDILO SOKA LA BONGO JAMANI!!!!!!!!!
No comments: