Header Ads

Breaking News
recent

MICHAEL JACKSON AENDELEA KUTIKISA DUNIA





DAKTARI WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON DOKTA CONRAD MURRAY LEO AMEFIKISHWA MAHAKAMANI MJINI LOS ANGELES MAREKANI AKIKABILIWA NA SHITAKA LA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAMUZIKI HUYO


Doctor Conrad murray

AKIWA MAHAKAMANI HAPO, MSHITAKIWA HUYO AMESEMA KUWA SIKU YA KIFO CHA JACKSON MWEZI JUNI MWAKA 2009 ALIMPA DOZI YA KAWAIDA YA DAWA ZA USINGIZI KAMA ILIVYOKUWA KAWAIDA KWA NYOTA HUYO KABLA YA KULALA

UPANDE WA UTETEZI UMESEMA KUWA MICHAEL JACKSON ALIJIZIDISHIA MWENYEWE KIWANGO CHA MATUMIZI YA DAWA HIZO NA HIVYO KUSABABISHA KIFO CHAKE

KAMA ATAKUTWA NA HATIA DOKTA MURRAY MWENYE UMRI WA MIAKA HAMSINI NA MINANE ATAKABILIWA NA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE JELA NA KUFUNGIWA LESENI YAKE YA UDAKTARI

KESI HIYO IMEAHIRISHWA NA ITAENDELEA TENA BAADA YA SIKU YA KUSIKILIZWA KUTANGAZWA KWENYE MTANDAO NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI

AIDHA WAKATI KESI HIYO IKIENDELEA MAHAKAMANI MAMIA YA MASHABIKI WA MICHAEL JACKSON WALIKUSANYIKA NJE YA MAHAKAMA

No comments:

Powered by Blogger.