WACHIMBAJI WA DOGO KUMI NA TISA WAPOTEZA MAISHA BAADA YA KUANGUKIWA NA KIFUSI MKOANI KAHAMA
kwa neema fm radio 98.2MHz tunaangaza
Wachimbaji wadogo wadogo 19 wa dhahabu
wamefariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi kufuatia wa mvua zinazoendelea
kunyesha na kusababisha kubomoka kwa mashimo hayo
katika machimbo ya kijiji cha karore kata ya Runguya tarafa ya msalala wilaya
ya kahama mkoani kahama.
Kwamujibu wa Kamanda wa polisi mkoani humo Justus Kamugisha Amesema usiku wa kuamkia leo kuna wachimbaji ambao walivamia machimbo hayo ambayo yalishaachwa kuchimbwa muda mrefu na ndipo wakaanza shughuli ya uchimbaji kutokana na machimbo hayo kuonekana kutokuwa imara na mvua iliyokuwa ikinyesha
ndipo mashimo hayo yakabomoka na kuwafukia na kusababisha vifo vyao.

No comments: