Header Ads

Breaking News
recent

Tatizo la kukatika umeme lazidi kuzitesa hospitali nyingi nchini

kwa neema fm radio 98.2MHz tunaangaza


Wagonjwa katika hospitali ya rufaa mkoa wa Morogoro wanashindwa kupata huduma za upasuaji na kusimama kwa huduma katika vyumba vya wagonjwa mahututi kutokana na tatatizo la kukatika umeme mara kwa mara ambapo wametupia lawama shirika la ugavi wa umeme nchini Tanesco kushindwa kutatua tatizo la kero ya umeme kwa muda mrefu.




No comments:

Powered by Blogger.