DAWA ZA KULEVYA ZILIVYOMUUA MWIMBAJI AMY WINEHOUSE
Mwimbaji maarufu mwanamke wa Uingereza, Amy Winehouse, amekutikana amekufa katika fleti yake mjini London.
Alikuwa na umri wa mika 27 tu.
Amy Winehouse alishinda tuzo kadha kwa albamu yake ya pili, Back to Black, ambayo ilitolewa mwaka wa 2006.
Sababu ya kifo haijulikani bado lakini uchunguzi wa awali unaonesha kuwa alizidisha dawa za kulevya
Lakini mwimbaji huyo amekuwa akipambana na uraibu wa ulevi na mihadarati kwa muda.
Mara nyingi alitokeza kwenye tamasha huku amelewa.
No comments: