MASHINDANO YA RIADHA KUWANIA UBINGWA WA AFRIKA KUTIMUA VUMBI NCHINI KENYA
Mashindano ya mchezo wa riadha kuwania ubingwa wa Afrika yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi mjini Nairobi Kenya kwenye uwanja wa Nyayo kuanzia July 28 hadi August mosi

Mashindano ya riadha kugombea ubingwa wa Afrika yatafanyika uwanja
Algeria imekuwa miongoni mwa timu za mwanzo kuwasili Nairobi, hapa wanaridha wakifanya mazoezi ndani ya uwanja wa Nyayo.
MRUSHA TUFE WA KIKE KUTOKA ALGERIA AKIZOE NYASI NA MAZINGIRA YA UWANJA WA NYAYO
MRUSHA KISAHANI WA ALGERIA
MWANARIADHA WA KIKE WA NIGERIA WA MITA 100 NA 400 LAURETTA OZOH AKINYOOSHA VIUNGO NDANI YA UWANJA WA NYAYO
MWANADADA KUTOKA MADAGASCAR AKIONESHA UWEZO WA KURUKA CHINI (MIRUKO MITATU)
SAADA AMINA WA ALGERIA NI HODARI WA KURUSHA NYUNDO

Saada Amina wa Algeria yeye ni hodari wa kurusha nyundo....

Mwanadada kutoka Madagascar akionyesha uwezo wake wa kuruka m

Mkimbiaji wa mita 100 na 400, Lauretta Ozoh kutoka Nigeria akinyoos

Mrusha kisahani wa Algeria

Mrusha tufe wa kike kutoka Algeria akizoea nyasi na mazingira ya uwanj
No comments: