Header Ads

Breaking News
recent


Miezi michache baada ya Cliford Mario Ndimbo kujiuzulu nafasi ya usemaji ndani ya klabu ya Simba, klabu hiyo imemteua Ezekiel Kamwaga a.k.a Mr.Liverpool kuwa msemaji rasmi wa timu hiyo.

Ezekiel ambaye ni mmoja kati ya wanahabari wakongwe nchini anakuwa msemaji wa pili wa klabu hiyo ndani ya uongozi wa Simba chini ya Aden Rage.

No comments:

Powered by Blogger.