Header Ads

Breaking News
recent

NDOLLO AKATWA USAJILI YANGA


Klabu ya Yanga jana imemaliza utata katika usajili wa wachezaji watano wa kigeni baada ya kutangaza majina ya wachezaji watakaoingia katika usajili rasmi wa klabu hiyo.
Majina ya wachezaji hao ni kama ifuatavyo:
1: Kenneth Asamoah

2: Haruna Niyonzima
3: Hamis Kiiza
4: Yew Berko
5: Davis Mwape

Wakati huo huo klabu hiyo ya Yanga imemtoa kwa mkopo mchezaji Idd Mbaga kwa klabu ya African Lyon inayoshiriki katika ligi kuu ya Tanzania.

No comments:

Powered by Blogger.