Mwl Christopher Mwakasege |
Mwalimu C. Mwakasege toka Arusha, jumapili ijayo anatarajia kuanza semina ya neno la Mungu jijini Mwanza.Semina hiyo inatarajia kuchukua takribani wiki moja itaanza rasmi tarehe 17/07/2011 na kumalizika tarehe 23/07/2011.
Semina hii ni moja kati ya semina ambazo huendeshwa kila Mwaka na mtumishi huyo wa Mungu katika jiji la Mwanza.
No comments: