Header Ads

Breaking News
recent

BABU GIGGS AULA TENA MAN UNITED.




Mchezaji wa man u Ryan Giggs {babu]amesaini mkataba mpya  wa mwaka mmoja zaidi kuendelea kuichezea Manchester United.
Giggs, 38, aliyeanza kuichezea United in 1990, na aliichezea mechi yake ya kwanza  March 1991.
Kutoka kipindi hicho mpaka leo ameshaichezea timu hiyo mechi 898 na akifunga magoli 162.
Ameshinda makombe 12 ya ENGLAND PREMIER LEAGUE [EPL], manne ya FA , matatu ya Carling , moja la Super , pia ameshinda kombe la mabara na kombe la dunia la vilabu.

No comments:

Powered by Blogger.