Thursday, March 6 2025

Header Ads

BAADA YA KUVULIWA KITAMBAA CHA UNAHODHA WA TIMU YA ENGLAND JOHN TERRY ATIMUKIA URENO KUPUNGUZA MAWAZO YANAYO MZONGA.



Kutokana na  kuandamwa na mikosi nahodha aliyevuliwa kitambaa cha u-captain John Terry ameamua kuondoka England na kwenda nje ya nchi kwa mapumziko mafupi.

Mlinzi huyo wa Chelsea amepewa ruhusa ya wiki moja na Andre Villas-Boas na imefahamika ameelekea nchini Ureno na familia yake  ili kupumzisha akili yake baada ya kuandamwa na msongo wa mawazo tangu avuliwe unahodha wiki iliyopita.

Terry ambaye pia ni majeruhi wa goti ataukosa mchezo wa jumamosi dhidi ya Everton.

No comments:

Powered by Blogger.