BONGE LA MATUKIO YA MOJA YA MATAMASHA YA LIYOFANYIKA HAPA KWA NEEMA FM REDIO KATIKA VIWANJA VYA CCM KIRUMBA MKOANI MWANZA
| Manager wa Kwa neema BI:Evelyin Endrew Hakua nyuma kumrisha keki mkurugenzi BI:Dina Mpemba |
| Wafanyakazi wa kwa neema fm redio wakipata keki kudumisha furaha ya pamoja katika tukio hilo |
| Waimbaji wakimuunga mkono mtoto kwa neemafm redio kufurahia siku yake ya kuzaliwa |
| Watangazaiji wakilitawala jukwaa katika siku hio |
No comments: