MATUKIO KATIKA PICHA YAKIONESHA MADUKA YALIYOFUNGULIWA BAADA YA MGOMO WA SIKU MBILI WA WAFANYABIASHARA HAO
Hatimaye wafanyabiashara katika jiji la mwanza mapema leo hii wamefungua maduka na kuendelea na biashara bila wasiwasi.
hii inafuatia mazungumzo ya takribani masaa 14 baina ya wafanyabiashara hao na mkurugenzi wa jiji la mwanza halifa hida yaliyofanyika katika ofisi za halmashauri ya jiji la mwanza jana.na kuazimia kusitisha mgomo huo.
No comments: