ZAIDI YA MADUKA 600 MKOANI MWANZA YAMEENDELEA KUFUNGWA KWA SIKU YA PILI HII LEO KUTOKA NA NA MGOMO WA WAFANYABIASHARA MKOANI HAPA
Na Mwandishi wetu,Mwanza
Wafanyabiashara wa maduka jijini mwanza hapo jana wamegoma kufungua biashara zao wakiishinikiza serikali ya mkoa kupunguza kodi ushuru na tozo mbalimbali zinazodaiwa kukithiri.
Wafanyabiashara wa maduka jijini mwanza hapo jana wamegoma kufungua biashara zao wakiishinikiza serikali ya mkoa kupunguza kodi ushuru na tozo mbalimbali zinazodaiwa kukithiri.
wakizungumza
na kwaneema fm radio wafanyabiashara hao wamesema kumekuwepo na ongezeko la
juu la ushuru wa usafi kutoka elfu 8 hadi elfu 15,tofauti ya
bei ya leseni kwa biashara moja na usumbufu wa mgambo wa jiji kutia mikufu na
kuchukua bidhaa zao bila kufuata sheria.
Akijibu
tuhuma hizo mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la mwanza Bw::Alpha Hidah amesewa
mgomo huo siyo halali na kwamba wamepanga kukutana na wafanyabiashara hao hii
leo kwaajili ya mazungumzo ya suluhisho
Aidha
bw:Hidah amekanusha taarifa zilizotolewana wafanyabiashara hao kwamba alisusia
kkao chao kwaajili ya mazungumzo na kwamba hakukataa kuonana nao
kwa
upande wao baadhi ya wananchi wakizungumza na kwaneema fm wameiomba serikali
kuzungumza na wafanyabiashara hao ili kufikia suluhu na kuepusha adha
wanayoipata
No comments: