HAPPY BIRTHDAY KWANEEMA FM(MIAKA SITA)
KWANEEMA FM RADIO INAKULETEA TAMASHA KUBWA KABISA LA MAADHIMISHO YA MIAKA SITA TANGU KUANZISHWA KWAKE LITAKALOFANYIKA WILAYANI UKEREWE
NI TAREHE 10/4/2016 KWENYE VIWANJA VYA GETRUDA MONGELA KUANZIA SAA 4 ASUBUHI HADI SAA 12 JIONI KWA KIINGILIO CHA TSH 1500/=WAKUBWA NA TSH 500/=KWA WATOTO NA TSH 5,000/=KWA VIP.
BURUDANI MBALIMBALI ZITAKUWEPO KUTOKA KWA WAIMBAJI KAMA VILE EMANUEL
MWASASUMBI,EMMANUEL MWAKISEPE,CECILIA EMMANUEL,BETTY LUCUS,AGNES
MPANGALA,AJUAYE ONESMO,REBEKA PIUSI,MIRIUM JACKSON,FABIAN FANUEL,VANESA
LABAN,CHRISTIAN KELVIN KWANEEMA BAND NA WENGINE WENGI.
BURUDANI NYINGINE YA AINA YAKE NI ILE YA MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA WATANGAZAJI WA KWANEEMA FM NA WACHUNGAJI MBALIMBALI WA MAKANISA YA WILIYANI UKEREWE.MICHEZO MINGINE ITAKUWEPO KAMA VILE MBIO ZA KWENYE MAGUNIA KUVUTA KAMBA KUKIMBIA NA YAI KWENYE KIJIKO MASHINDANO YA KULA KUCHEZA NA KUIMBA NA MICHEZO MINGINE MINGI.
PIA KUTAKUWA NA KITU CHA PEKEE SANA KWANI ASUBUHI YA TAMASHA YAANI JUMAPILI TUTAELEKEA KWENYE HOSPITALI YA BOMANI KWAAJILI YA KUTOA MKONO WA POLE KWA WAGONJWA HIVYO TUNAKARIBISHA MICHANGO MBALIMBALI YOYOTE ILE ITAKAYOWAFAA WAGONJWA.KAMA UNA CHOCHOTE KWAAJILI YA WAGONJWA TAFADHALI FIKA KWENYE OFISI ZA KWANEEMA FM ZILIZOPO KILOLELI KONTENA JIJINI MWANZA.
WOTE MNAKARIBISHWAAAAAA
NA:JACKTAN MSAFIRI

No comments: