WANAOMILIKI ARDHI KIHOLELA KUSWEKWA RUMANDE
WAKAZI WA KANDA YA ZIWA WANAKUMBUSHWA
KUFUATA KANUNI NA TARATIBU ZA UMILIKI WA
ARDHI ILI KUTIMIZA AGIZO LA SERIKALI LA KULIPA KODI YA ARDHI KABLA YA MTU KUPELEKWA MAHAKAMANI
AKIZUNGUMZA NA KWA NEEMA FM RADIO
KAMISHINA MSAIDIZI WA KANDA YA ZIWA BW: JOSEPH SHAWIYO ALISEMA WAMETANGAZA KWA
SIKU NYINGI JUU YA ULIPAJI WA KODI YA UMILIKI WA ARDHI KWA WANANCHI NA SASA
WAMEINGIA KATIKA HATUA YA KUWAPELEKA MAHAKAMANI WATAKAO KAIDI KWANI TAYARI
WATU 150 WAMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA ARDHI ILI KUJIBU MASHTAKA YAO.
BWANA SHAWIYO ALISEMA KUWA KILA
MWANANCHI ANAYE MILIKI ARDHI
ANAPASWA KULIPIA KODI YA ARDHI
KULINGANA NA UKUBWA WAENEO NA ENDAPO
ATACHELEWA ATAPASWA KULIPA KWA RIBA KILA MWEZI.
AIDHA BWANA SHAWIYO ALIESEMA
KUWA MAMLAKA IMEFIKIA HATUA YA
KUWAPELEKA WATU MAHAKAMA YA ARDHI BAADA YA KUTANGAZA KWA MUDA MREFU KUWA
KILA MWANANCHI ANAYEMILIKI ARDHI NI
SHARTI ALIPE KODI.
TUKIWA BADO TUKO MWANZA UPUNGUFU
WA BIDHAA YA SUKARI IMEENDELEA KUIKUMBA NCHI YA TANZANIA NA KUPELEKEA WANANCHI
KUIPATA SUKARI KWA BEI KUBWA KINYUME NA MAAIGIZO YA SERIKALI.
MKUU WA
MKOA WA MWANZA JOHN MONGELA ANZUNGUMZIAJE SUALA LA UKOSEFU WA SUKARI MKOANI
MWANZA.
WAKATI
HAYO YAKIENDELEA, RAIS MAGUFULI AMETOA ONYO KALI KWA WAFANYABIASHARA WALIOFICHA
SUKARI ILI BAADAE WAIUZE KWA BEI KUBWA.
ALIESEMA
WAFANYABIASHARA HAO WENYE TAMAA YA PESA WALIKUWA WAKIFUATA SUKARI ILIYO EXPIRE
HUKO BRAZILI NA KUILETA NCHINI ILI WATENGENEZE FAIDA NA NDO MAANA
SERIKALI ILIWAPIGA MARUFUKU KUAGIZA
RAIS
MAGUFULI ALIASEMA HAYO WAKATI AKIWASALIMIA WANANCHI WA KATESH, MKOANI
MANYARA.
AKIONGEA
NA MAMIA YA WANANCHI HAO WALIOJITOKEZA KUMLAKI NJIANI, RAIS MAGUFULI ALIWATOA
HOFU WANANCHI KUHUSU UHABA WA SUKARI KWA KUWA TAYARI WAKO KATIKA MCHAKATO
WA KUAGIZA MAKONTENA YA SUKARI NJE YA NCHI ILI KUWAKABILI WAFANYABIASHARA
WALIOFICHA BIDHAA HIYO.
ALISEMA
AMEVIAGIZA VYOMBO VYA DOLA VIWAFUATILIE ILI IKITHIBITIKA SUKARI WALIIFICHA BASI
ICHUKULIWE NA KUGAWIWA BURE KWA WANANCHI NA PIA WATAPIGWA MARUFUKU KUFANYA
BIASHARA YOYOTE HAPA NCHINI.
NA: JACKTAN MSAFIRI
No comments: