Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbiliny maarufu kwa jina la Sugu amekamatwa jana jioni katika viwanja vya mikutano vya CCM vilivyopo eneo la Ilomba Jijini Mbeya kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kukosa nidhamu kwa kufanya mkutano bila kibali.
Habari zilizoufikia mtandao huu zimeeleza kuwa mpaka asubuhi ya leo Julai 9,2011 Mbunge huyo na wenzake watano walikuwa wakishikiliwa na polisi.
Habari zilizoufikia mtandao huu zimeeleza kuwa mpaka asubuhi ya leo Julai 9,2011 Mbunge huyo na wenzake watano walikuwa wakishikiliwa na polisi.

No comments: