MCHEZAJI EMMANUEL MAYUKA WA ZAMBIA CHIPOLOPOLO ALIYEIUA GHANA NUSU FAINALI AFCON 2012-GABON
Emmanuel Mayuka mshambuliaji wa klabu ya Young Boys ya nchini USWISI akiwa amepachika magoli 7 katika ligi kuu ya uswisi msimu wa 2011/2012.
Mchezaji huyu alianzia kucheza soka la kulipwa katika klabu ya Maccabi Tel Aviv ya nchini ISRAEL Msimu wa mwaka 2009/2010 na baada ya hapo akapata uhamisho kwenda YOUNG BOYS Mwaka 2011.
No comments: